Sheria Yako - song and lyrics by Kwaya ya Mt. Cesilia Arusha
Nimeyapenda maagizo yako kuliko dhahabuNaam dhahabu iliyo safi SHERIA YAKO - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania
Bwana ndiye aliye fungu langu Nimesema nitayatii maneno yako Sheria Yako - song and lyrics by Kwaya ya Mt
Shuhuda zako ni za ajabuNdiyo maana roho yangu imezishika Sheet Music and Audio SHERIA YAKO - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania
Sheria yako naipenda mno ajabu *2Sheria yako aee naipenda aeeeSheria yako naipenda naipendamno ajabu, mno ajabu, ajabu
High-quality MP3 versions are often hosted on Mdundo .
Nakuomba fadhili zako ziwe faraja kwanguSawa sawa na ahadi yako kwa mtumishi wako